.
9th June, 2018
Takwimu zinaashiria kuwa kenya ina asilimia 6.2 tu ya misitu huku juhudi za upanzi wa miti zikitangazwa kila uchao. Lakini kando na upanzi wa kawaida, mbinu mpya almaarufu shamba system inatekelezwa kaunti ya Meru. Shirika la misitu nchini limewapa ruhusa wakulima kukuza mimea ya kawaida pamoja na miche ya miti kwa kipindi cha miaka mitatu.