.
7th June, 2018
Hebu fikiria jinsi maisha yangekuwa katika ulimwengu wa sasa iwapo televisheni hazingekuwepo, ama ziwepo ila zionyeshe picha kwa rangi mbili tu kama iliovyokuwa zaidi ya miongo mitatu iliopita. Televisheni za zamani ndizo zinazotupambia makala ya leo ya zilizopendwa naye tobias chanji.