.
27th May, 2018
Je, tume ya kupambana na ufisadi EACC imeisadia Kenya? | Siasa za Kanda
Tunaangazi jinsi kero la ufisadi ulivyokithiri nchini Kenya, hususan baada ya Kenya kupoteza mabilioni ya pesa, katika sakata za hivi punde za NYS na NCPB. Wachanganuzi wanaangazia jinsi ya kukabiliana na zimwi hili, kando na jinsi nchi zingine za Afrika kama vile Tanzania na Uganda zilivyokabiliana nalo.