×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wabunge wazungumzia ufisadi nchini : Jukwaa la KTN

24th May, 2018

Waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri ametakiwa kujiuzulu kufuatia sakata  ya mahindi katika bodi ya kitaifa ya nafaka na uzalishaji NCPB. Wabunge wa Jubilee Alfred Keter na mwenzake Silas Tiren wamemtaka rais Uhuru Kenyatta kuwajibika na kuhakikisha wote waliohusika kwenye sakata hiyo na ile ya shilingi bilioni 9 katika idara ya huduma ya vijana NYS wamechukuliwa hatua.

.
RELATED VIDEOS