×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jukwaa la KTN: EACC wafanya uvamizi Karen kwa aliyekuwa waziri wa uchukuzi Michael Kamau

22nd May, 2018

Maafisa kutoka tume ya maadili na kupambana na ufisadi, EACC, mapema leo waliyavamia makao ya aliyekuwa waziri wa uchukuzi, Michael Kamau, wakiwa na lengo la kumkamata. Hata hivyo maafisa hao waliofika nyumbani kwake Kamau mwendo wa saa kumi na moja alfajiri, waliondoka baada ya kupiga kambi kwa takribani saa tano, baada ya familia na mawakili wake Kamau kukataa kuwakubalia kwa misingi kwamba hawakuwa na stakabadhi za mahakama. 

.
RELATED VIDEOS