×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ugavi wa raslimali ya mafuta Turkana

22nd May, 2018

Na kufuatia mkataba wa mgao mpya wa mapato ya mafuta kati ya serikali kuu na ile ya Turkana wakazi wa kaunti ya Turkana haswaa eneo la Lokichar wamefurahi mno mkupata asilia 5 huku serikali yao ikipata asilimia 20h. Ila mtazamaji itakumbukwa kuwa wakazi hao walikuwa wameandamana mwaka jana  kupinga ule mgao wa asilimia kumi waliokuwa wamepewa na serikali. Hii hapa taarifa iliyoandaliwa na Agnes Penda mwaka jana katika eneo la Lokichar. 

.
RELATED VIDEOS