×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kamati ya uhasibu yakutana na wahusika wa sakata ya NYS

21st May, 2018

Kamati ya Bunge kuhusu uhasibu bungeni imemtaka waziri wa utumishi wa umma, vijana na jinsia Prof. Margaret Kobia, katibu katika wizara hiyo Lillian Mbogo Omollo na mkurugenzi wa NYS Richard Ndubai kufika mbele yake kabla Ijumaa kujibu maswali kuhusu sakata ya bilioni 9 katika huduma ya kitaifa ya vijana NYS

.
RELATED VIDEOS