×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanawake waandamana Nairobi wakitaka haki za akina mama kunyonyesha watoto wao kudumishwa

20th May, 2018

Kundi la akina mama wamefanya maandamano wakitaka haki za akina mama kunyonyesha watoto wao hadharani kudumishwa .Kundi hilo lilijawa na gathabu kufuatia kisa cha mwanamke mmoja, kudaiwa kukatazwa kumnyonyesha mwanawe ndani ya mkahawa mmoja jijini Nairobi kusambaa katika mitandao ya kijamii

.
RELATED VIDEOS