18th May, 2018
Katika miridimo kina mama jijini Nairobi wavamia mkahawa mmoja na kuteta kuhusu haki za kunyonyesha. Siasani seneta Gideon moi yumo ndani ya salamu huku mbunge wa nyali mohamed ali akitofautiana na utendakazi wa gavana wa Mombasa Hassan Ali Joho