×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali yatangaza nyongeza kwa wafanyikazi wa humu nchini kwa asilimia 5.

1st May, 2018

Kenya imejumuika na mataifa mengine duniani katika kuadhimisha sherehe za leba dei zilizofanyika katika bustani ya Uhuru hapa jijini Nairobi. Katika sherehe hizo serikali imetangaza nyongeza ya mshahara wa chini kwa wafanyikazi wa humu nchini kwa asilimia 5. Kwenye hotuba yake kupitia kwa waziri wa leba Ukuru Yattan Rais Uhuru Kenyatta aliongeza kuwa ni masikitiko makubwa kwamba Kenya ilipoteza saa milioni 100 za utenda kazi katika kipindi cha mwaka uliopita kupitia migomo ya wafanyikazi.

.
RELATED VIDEOS