×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ubora wa NHIF: Elimu kuhusu bima ya matibabu

27th April, 2018

Kwenye kila dakika kila mmoja huwa kwenye hatari ya kuwa mgonjwa na hivyo kuhitaji huduma za afya ziwe za dharura au za kawaida.  Hivyo basi ipo haja ya bima itakayogharamia matibabu hayo.

Katika mataifa mengine kama vile Canada na Uingereza, bima ya afya hutolewa na serikali kama haki kama ilivyo huduma za polisi au hata elimu ya umma. Kenya ingali haijafika hapo, japo juhudi zinawekwa kufanikisha lengo hilo.

 

.
RELATED VIDEOS