×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu 19 wafariki kufuatia maafa ya barabarani yanayotokana na mvua

22nd April, 2018

Jumla ya watu 19 wamefariki kufuatia maafa ya barabarani yaliyotokana na mvua inayoendelea kunyesha katika sehemu za Machakos na kinangop. Watu wanane wamefariki kwenye ajali machakos huku watu saba wakifariki baada ya gari walimokuwa kusombwa na mafuriko Kinangop

.
RELATED VIDEOS