21st April, 2018
Timu ya Zoo Kericho iliilaza timu ya tusker fc mabao 3 1 siku ya jumamosi, Ugani green stadium kericho. mabao hayo yalitiwa kimiani na wachezaji Mike Madoya na mawili ya Nicholas Kipkurui. Mathew Odongo aliifungia timu ya tusker bao la kufutia machozi dakika ya 80 ya mchezo.