Kikosi cha Kenya kwa mchezo wa KickBoxing wajitayarisha kwa mashindano ya bara kuandaliwa Cameroon
20th April, 2018
Kikosi cha Kenya cha mchezo wa kickboxing kiko tayari kwa mashindano ya bara Afrika ya mchezo huo yatakayoandaliwa kati ya tarehe 23 na 28 mwezi huu, jijini Yaoundé, nchini Cameroon.