Zaidi ya watu elfu tatu watasalia bila makao katika kaunti za Tana River na Garissa

KTN Leo | Tuesday 17 Apr 2018 9:02 pm

Zaidi ya watu elfu tatu watasalia bila makao kwa muda kutoka katika kaunti za Tana River na Garissa kufuatia mvua kubwa ilionyesha kwa muda maeneo hayo. Kuna ripoti ya kufariki kwa watu na pia mifugo