Klabu ya Kisumu ya kupiga makasi yaomba serikali kutlilia maanani mchezo wa kupiga maksi

KTN Leo | Tuesday 17 Apr 2018 8:56 pm

Klabu ya Kisumu ya kupiga makasi imeiomba serikali kutlilia maanani mchezo huo kwa ajili ya kuhakikisha viwango vya mchezo huo vinapanda nchini.Klabu hiyo iliandaa mashindano ya mwaka huu ya eneo la ziwa Victoria ambayo yalijumuisha vilabu nne kutoka maeneo mbalimbali nchini.