Waziri Eugene Wamalwa na Gavana Wycliffe Oparanya waongoza mkutano wa viongozi wa magharibi

KTN Leo | Monday 16 Apr 2018 10:12 pm

Waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa na gavana wa Kakamega Wycliffe Oparanya leo wameongoza mkutano wa viongozi wa magharibi kuelezea kukamilika kwa maadalizi ya mkutano wa tano wa ugatuzi utakaofanyika katika kaunti ya Kakamega juma lijalo