Mwanasiasa Kenneth Matiba ambaye alifariki jana aombolezwa

KTN Leo | Monday 16 Apr 2018 8:59 pm

Mwanasiasa Kenneth Matiba ambaye alifariki jana alikuwa mwanasiasa aliyevunja rekodi kwa kujiuzulu uwaziri wakati wa utawala wa rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi.Alikuwa mwekezaji mkubwa lakini anakumbukwa kupigania demokrasia ya vyama vingi nchini