John Kamais aibuka mshindi wa mashindano ya gofu ya standard classic

Sports | Sunday 15 Apr 2018 7:52 pm

John Kamais aliibuka mshindi wa mashindano ya gofu ya standard classic yaliyoandaliwa katika kaunti ya Nakuru. Kamai alizoa alama 23 na kuwashinda wanagofu wengine 110 kuchukua ushindi huo.