×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu watatu hawajulikani waliko,huku nyumba zaidi ya 15 zikisombwa na mafuriko huko Samburu

11th April, 2018

        Watu watatu hawajulikani waliko katika eneo la samburu

        kaskazini huku nyumba zaidi ya 15 zikisombwa na

        mafuriko shirika la red cross kaunti ya samburu

        linasema maafisa wake tayari wameanzisha juhudi za

        kuwatafuta waathiriwa hao. Shirika hilo pia limeanzisha

        shughuli za kuangazia hali ya mafuriko ilivyo eneo hilo ili

        kutathmini njia za kuzuia majanga ya aina hiyo kutokea

.
RELATED VIDEOS