×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Zilizala Viwanjani: Matokeo ya Ligi kuu Nchini Kenya

9th April, 2018

Timu ya Thika United iliandikisha ushindi wao wa kwanza katika ligi kuu ya soka nchini kwa kuwacharaza Sofapaka mabao mawili kwa moja kwenye mechi iliyochezwa ugani Thika.Kepha Aswani aliwaweka Sofapaka kifua mbele katika kipindi cha pili lakini Thika wakasawazisha kupitia Masakidi Mata kisha Adem Edmond akawafungia la pili kuwahakikishia ushindi huo muhimu

.
RELATED VIDEOS