6th April, 2018
Ameuza gazeti kwa miaka 50 sasa, lakini kwa mzee Walter Odum, kuuza gazeti kwa miongo mitatu si jambo kubwa unaposikia lakini ufahamu wake mkubwa wa habari umeendelea kuwavutia wengi kwa kazi. Mwanahabari wetu Kevin Ogutu alimfuata mzee huyu hadi nyumbani kwake Kisumu na kutuandalia taarifa ifuatayo.