×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Chama cha walimu KNUT chatishia kumuundoa afisa mkuu mtendaji Nancy Macharia

23rd March, 2018

Chama cha walimu nchini KNUT sasa kimetishia kuanzisha mchakato wa kumuondoa afisini afisa mkuu mtendaji wa TSC Nancy Macharia kwa kutochukulia kwa uzito masuala yanayowakumba walimu nchini. Wakiongozwa na katibu mku wa muungano huo Wilson Sossion, knut wamelalamikia hatua ya TSC kufeli kuhudhuria kikao cha leo kati ya TSC na KNUT kilichonuiya kujadili baadhi ya changamoto wanazopitia walimu kisa cha hivi karibuni kikiwa kile kinachozingira walimu kutoka maeneo ya kaskazini mashariki wanaotaka uhamisho. 

.
RELATED VIDEOS