Leo mashinani: Ugonjwa wa figo umeendelea kuwa tatizo katika jamii
21st March, 2018
Ugonjwa wa figo umeendelea kuwa tatizo katika jamii.Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 22 katika kijiji cha Mwangarana kaunti ya Taita Taveta kwa mara tatu amepitia utaratibu wa kusafishwa damu