×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KNCHR yapinga hatua ya kupunguza mishahara ya polisi

19th March, 2018

Wakati huo huo tume ya taifa ya kushughulikia haki za binadamu, KNHCR, imemtaka Rais Uhuru Kenyatta kutoidhinisha pendekezo la kupunguza mishahara ya maafisa wa polisi. Mwenyekiti wa tume hiyo, Kagwiria Mbogori, amesema hatua hiyo inakiuka haki za maafisa hao na ni kinyume cha sheria za  uajiri. Akizungumza alipokuwa akitoa ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini, ameonya kwamba iwapo serikali itaipunguza mishahara ya maafisa wa polisi, huenda idara ya usalama ikatumbukia msukosuko.

 

 

.
RELATED VIDEOS