George Njung’e ambaye ni mpiga picha na pia mfawidhi

KTN Leo | Tuesday 13 Mar 2018 7:21 pm

Japo kazi yake ya Jumatatu hadi Ijumaa ni ile ya unyamavu nyuma ya kamera akinakili yanayojri mahakamani kwa niaba ya gazeti la the Standard, ifikapo Jumamosi George Njung’e hugeuka mfawidhi au mc kwenye  hafla na karamu mbalimbali.