Wasiwasi umegubika kijiji cha Ndenderu huko Kiambaa baada ya watu wawili wa jamii moja kuuawa

KTN Leo | Tuesday 13 Mar 2018 7:10 pm

Tukisalia kwenye masuala ya usalama ni kuwa wasiwasi pia umegubika kijiji cha Ndenderu huko Kiambaa baada ya watu wawili wa jamii moja kuuawa kwa njia tata katika visa vya mauaji ya kiholela yanayoonekana kukithiri katika eneo hilo.