×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya voliboli ya kinadada Kenya Prisons yaahidi taji la bara la Afrika msimu huu

28th February, 2018

Timu ya mpira wa voliboli ya kina dada Kenya prisons imeahidi kwamba itatwaa taji la bara Afrika la mwaka huu katika mashindano yatakayoandaliwa mchini Misri. kocha mkuu David Lung'aho amesema kwamba mwaka huu lengo lake ni kutwaa taji hilo ambalo walishinda mwisho mwaka 2013.

.
RELATED VIDEOS