Mashirika tisa yamejitokeza kupinga kesi ya ukeketaji iliyowasilishwa na daktari Tatu Kamau
26th February, 2018
Mashirika tisa yamejitokeza kupinga kesi ya ukeketaji iliyowasilishwa na daktari Tatu Kamau anayetaka kuhalalishwa kwa utamaduni huo katili. Mzee mmoja sasa pia amejitokeza kumuunga mkono daktari tatu kwenye kesi hiyo.