.
20th February, 2018
Hatimaye marubani wawili waliokuwa wakizuiliwa taifa la Sudan Kusini wamerejea nyumbani. Rubani Pius Frank Njoroge na msaidizi wake Kennedy Shamalla wamerejea baada ya fidia ya shilingi milioni ishirini kulipwa kwa waliokuwa wakiwazuilia Sudan Kusini.