.
15th February, 2018
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars imeshuka nafasi moja hadi nafasi ya 106 bada ya msimamo kuzinduliwa hii leo. Rwanda kwa upande wake imepanda kwa nafasi ya pili hadi nafasi ya 114 huku tunisia ikiongoza barani Afrika katika msimamo huo. Tunisia ipo katika nafasi ya 23. Misri itakayokuwa miongoni mwa timu tano za Afrika kwenye kombe la dunia imeshuka nafasi 13 hadi nafasi ya 43 kwenye msururu huo wa FIFA.