.
15th February, 2018
Kila mwaka tarehe kama ya leo ulimwengu huadhimisha siku ya saratni miongoni mwa watoto. Siku inayotengwa kusisitiza umuhimu wa matibabu kando na kupigamsasa hatua zilizopigwa, katika matibababu ya saratani. Takwimu kuhusiana na ugonjwa huo miongoni mwa watoto wachanga bado ni haba na hivyo basi kutoa changamoto katika hatua ya matibabu. Kufuatia maadhimisho hayo waadhiriwa wa ugonjwa huo walitembelea stesheni ya KTN News.