Benki ya Standard Chattered imezindua makala ya mwaka huu ya Road to Anfield

Sports | Tuesday 13 Feb 2018 7:44 pm

Benki ya Standard Chattered imezindua makala ya mwaka huu ya Road to Anfield ambayo yataandaliwa jijini Nairobi mwezi ujao. Akizungumza katika uzinduzi huo, afisa mkuu mtendaji wa benki hiyo, Lamin Majang amesema mwaka huu mshindi kutoka humu nchini atajikatia tiketi ya kushiriki fainali  itakayoandaliwa katika uwanja wa Anfield  nchini uingereza.