Timu ya Bandari inaangazia kuboresha matokeo ya msimu huu baada ya kumaliza msimu uliopita

Sports | Tuesday 13 Feb 2018 7:38 pm

Timu ya Bandari inaangazia kuboresha matokeo ya msimu huu baada ya kumaliza msimu uliopita katika nafasi ya kumi. Kwa sasa timu hiyo iko katika nafasi ya pili baada ya kushinda mechi moja na kutoka sare.