Kikao cha bunge la taifa linatarajiwa kuchacha kufuatia orodha ya wanachama

KTN Leo | Tuesday 13 Feb 2018 7:34 pm

Kikao cha bunge la taifa linatarajiwa kuchacha kufuatia orodha ya wanachama watakohudumu kwenye tume ya huduma za bunge PSC. Licha ya wabunge wa Jubilee kwenye mkutano wa chama katika ikulu mapema leo kutakiwa kuwaidhinisha wanachama wa tume hiyo kutoka upande wao  baadhi yao wamesema watakaidi amri hiyo.