Askofu wa kanisa katoliki jimbo la Nyeri Anthony Muheria amewahimiza wanasiasa kutatua shida zao

KTN Mbiu | Wednesday 7 Feb 2018 6:09 pm

Tukiwa bado katika masuala ya siasa askofu wa kanisa katoliki jimbo la Nyeri Anthony Muheria amewahimiza wanasiasa kutatua masuala yote yanayoyowahusu kwa kuzingatia katiba. Muheria alisema hayo baada ya kukutana na gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga