.
30th January, 2018
Katika sehemu nyingine ambazo Raila Odinga ana ufuasi mdogo kulikuwa na hisia mbalimbali baadhi ya wenyeji wakimkashifu kutokana na hatua aliyoichukua hii leo. Hizi hapa baadhi ya kauli ambazo zilitolewa katika maeneo ya Nyeri na Eldoret