×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msimamo wa NASA:Vinara wa NASA wasisitiza kuwa uapisho ungalipo

27th January, 2018

Viongozi wa NASA wamesisitiza kuwa hakutakuwa na mazungumzo kabla jumanne, siku ambayo imetengewa hafla ya kuwaapisha Raila Odinga na Kalonzo Musyoka. Wakizungumza huko Homabay, vinara watatu wa nasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka na Musalia Mudavadi wamesema kuwa ni sharti watafute mbinu ya kukomesha wizi wa kura katika siku zijazo. Haya yanajiri huku rais uhuru kenyatta akiwa amewapendekeza mawaziri watakaohudumu katika baraza lake

.
RELATED VIDEOS