17th January, 2018
Wafugaji katika kaunti ya West Pokot wamepata sababu ya kutabasamu baada ya mifugo wao kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa petis des peste. Kulingana na msimamizi wa afya kwa wanyama daktari James Meririsia, ugonjwa huo uliripotiwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 2007. Zaidi ya mifugo elfu themanini walipokea chanjo hiyo iliyofanyika katika kijiji cha dungudungu. Haya yote katika juhudi za kuondoa magonjwa yanayoathiri wanyama.