×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kaunti ya Lamu inasifika sana kwa usafiri wa punda

16th January, 2018

Kaunti ya Lamu inasifika sana kwa usafiri wa punda, usafiri ambao umeendelea kuwa si tu kitega uchumi bali bila hutumika kufafanua historia ya kaunti hiyo. Lakini sasa biashara ya bodaboda imeonekana kunoga kiasi cha kutishia utamaduni huu

.
RELATED VIDEOS