KTN Leo - 15th January 2017 - Itikadi ya Jamii ya Wasamo
15th January, 2018
Jamii ya Wasamo ni koo ndogo miongoni mwa Waluhya lakini ina itikadi zake ambazo zinatofautiana na baadhi ya koo kuu za Waluhya. Jamii hiyo ilikuwa na mkutano wa kitaifa hivi majuzi na kueleza baadhi ya maazimio yake.