Watu tisa wafariki kwenye ajali katika barabara ya Nyeri-Nyahururu

KTN Leo | Wednesday 10 Jan 2018 7:20 pm

Wakenya bado wanasimulia maafa ya ajali za barabarani baada ya watu tisa kufariki kwenye ajali iliyotokea katika eneo la kianugu kwenye barabara ya Nyeri?Nyahururu.