Mtaala mpya wa elimu utaanza kutumika nchini Kenya mwaka ujao

KTN Leo | Thursday 20 Apr 2017 7:57 pm

Mwaka ujao mtaala mpya wa elimu utakuwa umeanza kutumika nchini Kenya. Ni tangazo alilolitoa waziri wa elimu daktari Fred Matiang’i katika mkutano na walimu wakuu wa shule za msingi uliofanywa katika taasisi ya kubuni mitaala nchini- KICD.