Mamlaka ya kushughulikia masuala ya polisi IPOA na chama cha sheria L.S.K zimekashifu vikali mauaji

KTN Leo | Saturday 1 Apr 2017 7:38 pm

Mamlaka ya kushughulikia masuala ya polisi IPOA na chama cha sheria L.S.K  zimekashifu vikali mauaji ya washukiwa wawili na maafisa wa polisi katika mtaa wa Eastleigh kwa kuwapiga risasi hata baada ya kujisalimisha. Mtazamaji tahadhari kuwa picha zilizoko kwenye taarifa hii ni za kuogofya.