Chuo cha USIU kilitwaa ushindi katika uogeleaji kwenye mashindano ya vyuo vikuu vya Afrika Mashariki

KTN News Dec 18,2016


View More on Sports

Chuo cha USIU kilitwaa ushindi katika uogeleaji kwenye mashindano ya vyuo vikuu vya Afrika Mashariki yanayoendelea katik chuo kikuu  cha Sayansi na Tecnologia cha  Jomo Kenyatta . Katika raga ya wachezaji saba, Strathmore illibuka na ushindi baada ya kuilaza chambogo kwenye fainali.