×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kitoweo Cha Mauti : Maambukizi ya Ugonjwa wa Ukimwi kaunti ya Homabay

1st December, 2016

Kenya inapojiunga na mataifa mengine katika maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani, takwimu za ripoti ya kutathmini maambukizi ya ukimwi nchini inaonyesha kwamba kaunti ya Homabay inaongoza kwa maambukizi hayo kwa 26% ikilinganishwa na taifa mzima ambapo maambukizi hayo yanakadiriwa kuwa 6%. Mwanahabari Sycilia Wakesho alizuru maeneo ya kaunti hiyo na anatupa hali halisi. 

.
RELATED VIDEOS