KTN Leo: Frank Otieno aarifu kutoka ubalozi wa Marekani humu nchini, 8/11/16
8th November, 2016
Katika makazi ya ubalozi wa marekani nchini kuna wageni waalikwa wanaohudhuria dhifa maalum huku wakifuatilia matokeo ya uchaguzi. Tunaungana na mwanahabari Frank Otieno atuonjeshe hali ilivyo.