×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi: Waasi wa chama cha ODM huenda wakafukuza baada ya kuhamia chama cha Jubilee

29th October, 2016

Wabunge sita  wa ODM, naibu gavana na gavana mmoja huenda wakapoteza viti vyao wakati wowote kuanzia sasa iwapo kamati kuu pamoja na baraza la kitaifa na uongozi la chama hicho zitaidhinisha mapendekezo ya kamati ya nidhamu ya chama hicho.kama anavyotuarifu ripota wetu wa masuala ya kisiasa Duncan Khaemba ,  huenda taifa likashuhudia uchaguzi mkuu mdogo, iwapo IEBC itaandesha chaguzi ndogo katika maeneo yatakayoathirika

.
RELATED VIDEOS