×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Timu ya Kenya ya voliboli chipukizi yajikwamua kwa kuilaza Senegal, 25 Octoba 2016

25th October, 2016

Timu ya Kenya ya voliboli ya chipukizi ilipata ushindi kwenye mechi yake ya tatu baada ya kulaza Senegal seti 3-0 kwenye mechi iliyochezwa katika ukumbi wa Kasarani. Licha ya Senegal kuanza mechi hiyo kwa kasi, Kenya ilijikakamua na kushinda seti ya kwanza kwa alama 25-17. Katika seti ya pili Kenya haikua na kibarua na mashambulizi ya chipukizi hao yakaipa Kenya ushindi wa seti hiyo kwa alama 25-7. Kwenye seti ya tatu kenya ilizoa alama 25-8 na kuibuka ma iushindi wa mechi hiyo. kwenye mechi ya awali timu ya Misri ilipata ushindi wa seti 3-0 dhidi ya Rwanda.

.
RELATED VIDEOS