×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo: Raila alalamika mradi wa maji wa maji wa Muranga,10/10/2016

10th October, 2016

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga ameitaka serikali kusitisha mradi wa ujenzi wa mabomba unaolenga kusambaza maji kutoka Murang’a  na kuelekezwa katika kaunti ya Nairobi.  Raila amesema kuwa mradai huo anaodai unafadhiliwa na benki ya dunia utagharimu shilingi bilioni 6 nukta nane na utazua kiangazi katika maeneo mbalimbali nchini. 

.
RELATED VIDEOS